Maarif Islamiyya Education Website

Matawi ya Chuo

MADRASAT SHAMSIL MAARIF SHANGANI DUGA MAFORONI

IPO KILOMETA 5 KUTOKA MPAKANI MWA KENYA NA TANZANIA JINA LA MWALIMU WA MADRASA HIYO NI USTADH MWARAI

Read More

MADRASAT SHAMSIL MAARIF GEZANI

IKO BARABAR A YA KWENDA MOMBASA

Read More

MADRASAT SHAMSIL MAARIF MAYOMBONI

IPO KILOMETA 3 NA NUSU KUTOKA BARABARA KUU IENDAYO MOMBASA ,MWALIMU WAKE NI USTADHI KASSIMU KIPITU

Read More

MADRASAT SHAMSIL MAARIF KASERA

IPO META 800 KUTOKA MAKAO MAKUU YA WILAYA YA MKINGA , JINA LA MWALIMU NI USTADHI

Read More

MADRASAT SHAMSIL MAARIF MWABOZA

IKO KILOMETA 40 KASKAZINI MWA TANGA MJINI JINA LA MWALIMU NI JUMAA SELEMANI NZIBO A.K.A USTADHI PARUNGU

Read More

SHAMSIL MAARIF - PONGWE

TAWI HILI LIKO MKOA WA TANGA MAENEO YA PONGWE MWALIMU WAKE ANATAMBULIKA KWA JINA USTADHI JAMBIA KAMA ANAVYO ONEKANA HAPO

Read More

SHAMSIL MAARIF - VANGA KENYA

TAWI HILI LIKO NCHINI KENYA MWALIMU WAKE ANAJULIKANA KWA JINA LA USTADHI ALLY NASSORO

Read More

An-waarul islaamiyyah

Anuwaarul islaamiyyah ni miongoni mwa matawi ya shamsil maarif Tawi hili linapatikana katika mkoa wa manyara maeneo ya magugu limedhaminiwa

Read More