Maarif Islamiyya Education Website

Jinsi ya Kujiunga na Chuo

MAELEZO YA KANUNI NA TARATIBU ZA KUJIUNGA NA CHUO

Chuo Kimesajiliwa kwa jina "THE REGISTERED TRUSTEES OF MAAHAD SHAMSIL MAARIF ISLAMIYA" Kwa No. 2072, Chuo kipo Mtaa wa Magomeni 'B', Kata ya Duga, Tarafa ya Pongwe, Jiji la Tanga - Tanzania.

Maahad hii ipo Mtaa wa Duga,Kata ya Duga katika Jiji la Tanga, siku za masomo ni kuanzia siku ya jumamosi hadi jumatano ya kila wiki kuanzia saa 1:30 asubuhi hadi saa 6:00 mchana, kunakuwa na mapumziko ya masaa mawili (2) kuanzia saa 6:00 mchana hadi saa 8:00, masomo yataanza tena saa 8:15 hadi saa 10:15 alasiri

Maelezo Zaidi ya Kujiunga yanapatikana Kwenye fomu Iliyopo Chini